Kanisa la Waadventista Wasabato linaamini kwamba ujumbe mwingi wa Ellen White ulikuwa ufunuo kutoka kwa Mungu.
Ellen White
Maono ya Ellen White Kuhusu Kanisa la Waadventista wa Sabato
Akiwa ameongozwa na Roho Mtakatifu, Ellen G. White alipewa jumbe nyingi, ushauri, ufunuo, na maono kuhusu Biblia, historia, unabii, na jinsi tunavyoweza kutumia kanuni za kibiblia katika maisha yetu ya kila siku.
Je, Kweli Ellen G. White Alikuwa Nabii?
Ukiangalia yale ambayo Maandiko yanatolewa kama vipimo vya nabii wa kweli, Ellen White anakidhi vigezo vyote.
Ellen G. White Alitoa Ushauri Gani kuhusu muziki?
Katika kiini chake, muziki ni mkusanyiko wa sauti, muinuko wa sauti na mapigo ambayo huleta wimbo.
Mwongozo wa Ellen G. White kuhusu Elimu ya Kikristo
Ellen White, mwanzilishi wa Kanisa la Waadventista wa Sabato, aliona kuwa mfumo wa elimu nchini Marekani wakati wake ulikuwa haukidhi mahitaji.
Ushauri wa Kiroho wa Ellen White kuhusu Ndoa
Kama mmoja wa waasisi wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato, Ellen G. White aliheshimiwa sana.
Mambo Ambayo Ellen G. White Alisema Kuhusu Kutumia Biblia katika Elimu
White, mmoja wa waanzilishi wa Kanisa la Waadventista wa Sabato, aliamini kwamba elimu haikuwa kamili isipokuwa ilipojengwa juu ya kanuni za Biblia.
Maono na Unabii wa Ellen White
Agano Jipya linathibitisha unabii kama karama ya Roho ambayo itaendelea hadi mwisho wa wakati (Waefeso 4:11–14).
Jinsi Mafundisho ya Ellen White Yanavyoweza Kuboresha Afya Yako
Ellen White alifundisha nini kuhusu afya na kwa nini? Jifunze jinsi mafundisho haya ya zamani bado yanavyoendelea kuwa ya kweli leo kwa maisha yenye msawaziko.
Jinsi Ellen White Alivyochangia Ujumbe wa Afya wa Waadventista
Waadventista wa Sabato wanajulikana kwa kusisitiza maisha yenye afya bora.
Ellen White anasema nini kuhusu Maombi?
Je, umewahi kuwa na mzigo ambao ulihitaji kumwambia mtu, lakini uliogopa kuhukumiwa ikiwa ungefanya hivyo?
Ellen G. White Alisaidia Vipi Katika Kuanzisha Kanisa la Waadventista wa Sabato?
Ellen G. White, mwanamke mnyenyekevu kutoka Gorham, Maine, alikuwa mmoja wa waanzilishi wa Kanisa la Waadventista wa Sabato na kiongozi muhimu tangu mwanzo wake.
Vidokezo 8 vya Ushauri kwa Familia kutoka kwa Ellen White
Familia—inaweza kuwa chanzo cha sehemu yenye kufurahisha na yenye kuleta changamoto katika maisha.
Hazina ya Ellen G. White Ni nini ?
Mchango wa Ellen G. White katika uundaji na ukuaji wa Kanisa la Waadventista wa Sabato ni sehemu muhimu ya historia yake.
Sabato katika Maisha na Mafundisho ya Ellen White
Sabato katika Maisha na Mafundisho ya Ellen White Sabato ni mada muhimu katika Kanisa la Waadventista wa Sabato. Sio...
Kuelewa Maisha na Huduma ya Ellen G. White
Jifunze Ellen G. White ni nani hasa na jukumu alilokuwa nalo katika kuongoza Kanisa la Waadventista Wa Sabato mapema kupitia huduma yake na maandishi yaliyoongozwa na Roho Mtakatifu.
Wafahamu Watoto wa Ellen White
Ellen White, ambaye ni mmoja wa waanzilishi maarufu zaidi wa Kanisa la Waadventista wa Sabato, alikuwa na watoto wanne na mumewe, James: Henry Nichols, James Edson, William Clarence, na John Herbert.
Hatua Kuelekea kwa Kristo: Mwongozo wa Uhusiano na Yesu
Iwe unanza safari yako na Yesu Kristo, unarejea baada ya muda fulani, au umekuwa na uhusiano na Yesu kwa miaka, kutumia kitabu—mbali na Biblia—kuongoza au kusaidia uhusiano huo inaweza kuwa na manufaa, faraja, na furaha.
Roho ya Unabii Ni nini (Kitabu cha 1-4) na Ellen G. White?
Kutumia unabii wa Biblia katika historia, matukio ya hivi karibuni, na hasa siku za usoni, inaweza kuwa kazi ngumu.
Urithi wa Kudumu wa Ellen G. White
Ellen G. White ni jina linalojulikana sana miongoni mwa Waadventista wa Sabato, lakini pia aliathiri sehemu nyingi za historia, mbali na kuwa mwanzilishi wa Kanisa la Waadventista wa Sabato.
Ellen White na Kitabu cha Pambano Kuu
Pambano Kuu ni moja ya vitabu vya Ellen G. White vinavyo thaminiwa zaidi na Waadventista wa Sabato.
Ellen White Alifundisha nini Kuhusu Matumizi ya Vyakula Vinavyotokana na Mimea?
Moja ya mambo ambayo unaweza kuwa umewahi kusikia kuhusu Waadventista wa Sabato ni msisitizo wao kwenye mtindo wa maisha wa kutumia vyakula vinavyotokana na mimea.
Ellen G. White au Biblia—Kipi ni Muhimu Zaidi kwa Waadventista?
Biblia—bila shaka—ndiyo kitabu muhimu zaidi. Ni kipimo tunachotumia kupima maandishi mengine yote, ikiwa ni pamoja na yale ya Ellen White.





















